Wakashika njia, hofu ya Mungu ikaishika miji iliyowazunguka, wala hawakuwafuata wana wa Yakobo.
Zaburi 105:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hakumwacha mtu awaonee, Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Mungu hakuruhusu mtu awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme: Biblia Habari Njema - BHND Lakini Mungu hakuruhusu mtu awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Mungu hakuruhusu mtu awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme: Neno: Bibilia Takatifu Hakuruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: Neno: Maandiko Matakatifu Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: BIBLIA KISWAHILI Hakumwacha mtu awaonee, Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao. |
Wakashika njia, hofu ya Mungu ikaishika miji iliyowazunguka, wala hawakuwafuata wana wa Yakobo.
Israeli walikuwa utakatifu kwa BWANA; malimbuko ya uzao wake; Wote watakaomla watakuwa na hatia; uovu utawajia; asema BWANA.
Mtwae, umtunze sana, wala usimtende neno baya lolote; lakini umtendee kama atakavyokuambia.