Basi kulikuwa na njaa katika nchi ile; Abramu akashuka Misri, akae huko kwa muda maana njaa ilikuwa kali katika nchi.
Zaburi 105:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakatangatanga toka taifa hadi taifa, Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walitangatanga kutoka taifa hadi taifa; kutoka nchi moja hadi nchi nyingine. Biblia Habari Njema - BHND Walitangatanga kutoka taifa hadi taifa; kutoka nchi moja hadi nchi nyingine. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walitangatanga kutoka taifa hadi taifa; kutoka nchi moja hadi nchi nyingine. Neno: Bibilia Takatifu walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. Neno: Maandiko Matakatifu walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. BIBLIA KISWAHILI Wakatangatanga toka taifa hadi taifa, Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine. |
Basi kulikuwa na njaa katika nchi ile; Abramu akashuka Misri, akae huko kwa muda maana njaa ilikuwa kali katika nchi.
Umehesabu kutangatanga kwangu; Uyatie machozi yangu katika chupa yako; (Je! Hayamo katika kitabu chako?)
Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.
Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Ili nitafute utukufu amenituma kwa mataifa wale waliowateka ninyi; maana yeye awagusaye ninyi aigusa mboni ya jicho lake.