Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA? Kwa kuwa amefanya nami agano la milele; Ina taratibu katika yote, ni thabiti, Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.
Zaburi 105:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Alilomthibitishia Yakobo liwe amri, Na Israeli liwe agano la milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, alimhakikishia Israeli agano hilo la milele. Biblia Habari Njema - BHND Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, alimhakikishia Israeli agano hilo la milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, alimhakikishia Israeli agano hilo la milele. Neno: Bibilia Takatifu Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele: Neno: Maandiko Matakatifu Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele: BIBLIA KISWAHILI Alilomthibitishia Yakobo liwe amri, Na Israeli liwe agano la milele. |
Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA? Kwa kuwa amefanya nami agano la milele; Ina taratibu katika yote, ni thabiti, Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.
Basi, Mungu wa amani aliyemleta tena kutoka kwa wafu Mchungaji Mkuu wa kondoo, kwa damu ya agano la milele, yeye Bwana wetu Yesu,