Isaka akatoka ili kutafakari shambani wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.
Zaburi 104:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Maana furaha yangu hutoka kwa BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako. Biblia Habari Njema - BHND Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Upendezwe, ee Mwenyezi-Mungu, na mawazo yangu haya; maana furaha yangu naipata kwako. Neno: Bibilia Takatifu Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, ninapofurahi katika bwana. BIBLIA KISWAHILI Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Maana furaha yangu hutoka kwa BWANA. |
Isaka akatoka ili kutafakari shambani wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.
Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.
Nikakitwaa kile kitabu kidogo kutoka mkononi mwa malaika yule, nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali kinywani mwangu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu.