Zaburi 102:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa ajili ya kilio cha kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi. Biblia Habari Njema - BHND Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi. Neno: Bibilia Takatifu Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa. BIBLIA KISWAHILI Kwa ajili ya kilio cha kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. |
Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.
Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakibubujikia kitanda changu; Nililowesha godoro langu kwa machozi yangu.
Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa BWANA ameisikia sauti ya kilio changu.
Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti.
Tena mumewe akafanya hivyo mwaka kwa mwaka, hapo yule mwanamke alipokwea kwenda nyumbani kwa BWANA, ndivyo yule alivyomchokoza; basi, kwa hiyo, yeye akalia, asile chakula.