Zaburi 102:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wewe uliiumba dunia zamani za kale, mbingu ni kazi ya mikono yako. Biblia Habari Njema - BHND Wewe uliiumba dunia zamani za kale, mbingu ni kazi ya mikono yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wewe uliiumba dunia zamani za kale, mbingu ni kazi ya mikono yako. Neno: Bibilia Takatifu Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. Neno: Maandiko Matakatifu Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako. BIBLIA KISWAHILI Hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako. |
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Maana hao adui zako, Ee BWANA, Hao adui zako watapotea, Na watendao maovu watatawanyika wote pia.
Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Nilisema, Katika usitawi wa siku zangu nitakwenda kuingia malango ya kuzimu; Nimenyimwa mabaki ya miaka yangu.
Aa! Bwana MUNGU, tazama, wewe umeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa; hapana neno lililo gumu usiloliweza;