Kwani ana furaha gani katika ukoo wake baada yake, Hesabu ya miezi yake itakapokwisha katwa katikati?
Zaburi 102:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Amezipunguza nguvu zangu njiani; Amezifupisha siku zangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mungu amenipunguzia nguvu ningali kijana; ameyafupisha maisha yangu. Biblia Habari Njema - BHND Mungu amenipunguzia nguvu ningali kijana; ameyafupisha maisha yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mungu amenipunguzia nguvu ningali kijana; ameyafupisha maisha yangu. Neno: Bibilia Takatifu Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu. Neno: Maandiko Matakatifu Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu. BIBLIA KISWAHILI Amezipunguza nguvu zangu njiani; Amezifupisha siku zangu. |
Kwani ana furaha gani katika ukoo wake baada yake, Hesabu ya miezi yake itakapokwisha katwa katikati?
Na itakuwa katika siku za mwisho, mlima wa nyumba ya BWANA utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na mataifa yote watauendea makundi makundi.
Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa BWANA, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la BWANA katika Yerusalemu.
Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha BWANA; na mataifa yote yatakusanyika huko Yerusalemu, kwa ajili ya jina la BWANA; wala hawatakwenda tena kwa ukaidi wa moyo wao mbaya.