Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.
Zaburi 101:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hatakaa ndani ya nyumba yangu Mtu atendaye hila. Asemaye uongo hatathibitika Mbele ya macho yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu. Biblia Habari Njema - BHND Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu. Neno: Bibilia Takatifu Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu. BIBLIA KISWAHILI Hatakaa ndani ya nyumba yangu Mtu atendaye hila. Asemaye uongo hatathibitika Mbele ya macho yangu. |
Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.
Na mkono wangu utakuwa juu ya manabii wanaoona ubatili, na kutabiri uongo; hawatakuwa katika mashauri ya watu wangu, wala hawataandikwa katika maandiko ya nyumba ya Israeli, wala hawataingia katika nchi ya Israeli; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana MUNGU.
ashike mahali katika huduma hii na utume huu, alioukosa Yuda, aende zake mahali pake mwenyewe.