Zaburi 100:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mshangilieni BWANA, enyi nchi zote; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mshangilieni Mwenyezi-Mungu, enyi nchi zote! Biblia Habari Njema - BHND Mshangilieni Mwenyezi-Mungu, enyi nchi zote! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mshangilieni Mwenyezi-Mungu, enyi nchi zote! Neno: Bibilia Takatifu Mpigieni Mwenyezi Mungu kelele za shangwe, dunia yote. Neno: Maandiko Matakatifu Mpigieni bwana kelele za shangwe, dunia yote. BIBLIA KISWAHILI Mshangilieni BWANA, enyi nchi zote; |
Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
Mataifa na washangilie, Naam, waimbe kwa furaha, Maana kwa haki utawahukumu watu, Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
Imba, Ee binti Sayuni; piga kelele, Ee Israeli; Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, Ee binti Yerusalemu.
Naye BWANA atakuwa Mfalme wa nchi yote; siku hiyo BWANA atakuwa mmoja, na jina lake moja.
Na alipokuwa amekaribia mteremko wa mlima wa Mizeituni, kundi zima la wanafunzi wake walianza kufurahi na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona,
Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake; Kwa maana atatwaa kisasi kwa damu ya watumwa wake, Atawatoza kisasi adui zake, Tena atafanya kafara kwa nchi yake, na watu wake.