Tena ikawa hapo alipokaribia mtu yeyote kumsujudia, hunyosha mkono wake, na kumshika, na kumbusu.
Zaburi 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hujikunyata na kuinama; Watu duni huanguka kwa nguvu zake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mnyonge huvamiwa na kuangushwa chini; huangushwa kwa ukatili wa mtu mwovu. Biblia Habari Njema - BHND Mnyonge huvamiwa na kuangushwa chini; huangushwa kwa ukatili wa mtu mwovu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mnyonge huvamiwa na kuangushwa chini; huangushwa kwa ukatili wa mtu mwovu. Neno: Bibilia Takatifu Mateka wake hupondwa, huzimia; wanaanguka katika nguvu zake. Neno: Maandiko Matakatifu Mateka wake hupondwa, huzimia; wanaanguka katika nguvu zake. BIBLIA KISWAHILI Hujikunyata na kuinama; Watu duni huanguka kwa nguvu zake. |
Tena ikawa hapo alipokaribia mtu yeyote kumsujudia, hunyosha mkono wake, na kumshika, na kumbusu.
Kisha itakuwa, ya kwamba kila mtu atakayesalia katika nyumba yako atakwenda kumsujudia, apate kipande kidogo cha fedha, na mkate mmoja; na kumwambia, Tafadhali nitie katika kazi mojawapo ya ukuhani, nipate kula kipande kidogo cha mkate.