Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Yoshua 8:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Wote walioanguka siku hiyo wanaume kwa wanawake, walikuwa ni elfu kumi na mbili, yaani, watu wote wa mji wa Ai.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Wanaume na wanawake elfu kumi na mbili waliangamia siku ile, yaani watu wote wa Ai.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Watu kumi na mbili elfu, waume kwa wake, waliangamia siku ile, yaani watu wote wa Ai.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Wote walioanguka siku hiyo wanaume kwa wanawake, walikuwa ni elfu kumi na mbili, yaani, watu wote wa mji wa Ai.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Yoshua 8:25
2 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha ikawa, hapo Israeli walipokuwa wamekwisha kuwaua wenyeji wote wa Ai katika bara, hapo katika nyika walipokuwamo wakiwafuatia, nao walikuwa wamekwisha anguka wote kwa makali ya upanga, hadi walipokuwa wameangamizwa wote, ndipo Israeli wakarejea Ai, na kuupiga huo mji kwa makali ya upanga.