Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao kondoo manyoya huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Yoshua 19:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Eloni, Timna, Ekroni; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Eloni, Timna, Ekroni Biblia Habari Njema - BHND Eloni, Timna, Ekroni Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Eloni, Timna, Ekroni Neno: Bibilia Takatifu Eloni, Timna, Ekroni, Neno: Maandiko Matakatifu Eloni, Timna, Ekroni, BIBLIA KISWAHILI Eloni, Timna, Ekroni; |
Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao kondoo manyoya huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
lakini hao Waamori waliendelea kukaa katika kilima cha Heresi, na katika Aiyaloni, na katika Shaalbimu; pamoja na haya mkono wa hiyo nyumba ya Yusufu ulishinda, hata wakawalazimisha shokoa.
Basi, wakalipeleka sanduku la Mungu mpaka Ekroni. Ikawa, sanduku la Mungu lilipofika Ekroni, watu wa Ekroni walipiga kelele, wakasema, Wamelileta hilo sanduku la Mungu wa Israeli kwetu, ili kutuua sisi na watu wetu.