Yoshua 19:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Shaalabini, Aiyaloni, Ithla; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shaalabini, Aiyaloni, Yithla, Biblia Habari Njema - BHND Shaalabini, Aiyaloni, Yithla, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shaalabini, Aiyaloni, Yithla, Neno: Bibilia Takatifu Shaalabini, Aiyaloni, Ithla, Neno: Maandiko Matakatifu Shaalabini, Aiyaloni, Ithla, BIBLIA KISWAHILI Shaalabini, Aiyaloni, Ithla; |
Ndipo Yoshua akanena na BWANA katika siku hiyo ambayo BWANA aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.
na Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
lakini hao Waamori waliendelea kukaa katika kilima cha Heresi, na katika Aiyaloni, na katika Shaalbimu; pamoja na haya mkono wa hiyo nyumba ya Yusufu ulishinda, hata wakawalazimisha shokoa.
Nao wakawapiga watu miongoni mwa Wafilisti siku ile kutoka Mikmashi mpaka Ayaloni; na hao watu walikuwa wamepungukiwa sana na nguvu.
Naye akapita katika nchi ya milima milima ya Efraimu, akapita katika nchi ya Shalisha, lakini hawakuwaona; kisha wakapita katika nchi ya Shaalimu, wala huko hawakuwako; wakapita katika nchi ya Wabenyamini, lakini hawakuwapata.