Yoshua 18:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Bethiaraba, na Semaraimu, na Betheli; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Beth-araba, Zemaraimu, Betheli, Biblia Habari Njema - BHND Beth-araba, Zemaraimu, Betheli, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Beth-araba, Zemaraimu, Betheli, Neno: Bibilia Takatifu Beth-Araba, Semaraimu, Betheli, Neno: Maandiko Matakatifu Beth-Araba, Semaraimu, Betheli, BIBLIA KISWAHILI na Bethiaraba, na Semaraimu, na Betheli; |
Basi Abiya akasimama juu ya kilima cha Semaraimu, kilichoko milimani mwa Efraimu, akasema, Nisikieni, enyi Yeroboamu na Israeli wote;
Wana wa Benyamini nao walikuwa wakikaa Geba, na Mikmashi, na Aiya, na Betheli na vijiji vyake;
na huo mpaka ukaendelea hadi Beth-hogla, kisha ukaendelea upande wa kaskazini wa Beth-araba; kisha mpaka ukaendelea hadi jiwe la Bohani mwana wa Reubeni;
Kisha mpaka ukaendelea kutoka hapo na kufikia mji wa Luzu, ubavuni mwa Luzu (ndio Betheli), kwa upande wa kusini; kisha mpaka ukateremkia Ataroth-adari, karibu na mlima ulio upande wa kusini wa Beth-horoni wa chini.
kisha ukaendelea mbele ubavuni kuikabili Araba, upande wa kuelekea kaskazini, nao ukateremka hadi hiyo Araba;
Basi miji ya kabila la wana wa Benyamini kwa kufuata jamaa zao ilikuwa ni Yeriko, na Beth-hogla, na Emek-kesisi,