Ndipo Benaya, mwana wa Yehoyada, akapanda, akampiga, akamwua; naye akazikwa katika nyumba yake mwenyewe iliyoko nyikani.
Yoshua 15:61 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Huko nyikani, Beth-araba, na Midini, na Sekaka; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Miji ya nyikani ilikuwa Beth-araba, Midini, Sekaka, Biblia Habari Njema - BHND Miji ya nyikani ilikuwa Beth-araba, Midini, Sekaka, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Miji ya nyikani ilikuwa Beth-araba, Midini, Sekaka, Neno: Bibilia Takatifu Huko jangwani: Beth-Araba, Midini, Sekaka, Neno: Maandiko Matakatifu Huko jangwani: Beth-Araba, Midini, Sekaka, BIBLIA KISWAHILI Huko nyikani, Beth-araba, na Midini, na Sekaka; |
Ndipo Benaya, mwana wa Yehoyada, akapanda, akampiga, akamwua; naye akazikwa katika nyumba yake mwenyewe iliyoko nyikani.
na huo mpaka ukaendelea hadi Beth-hogla, kisha ukaendelea upande wa kaskazini wa Beth-araba; kisha mpaka ukaendelea hadi jiwe la Bohani mwana wa Reubeni;
kisha ukaendelea mbele ubavuni kuikabili Araba, upande wa kuelekea kaskazini, nao ukateremka hadi hiyo Araba;
Kisha Yoshua na watu wa Israeli wote walifanya kana kwamba wameshindwa mbele yao, wakakimbia kwa njia ya nyika.