Nao wakakaa huko Gileadi, katika Bashani, na katika miji yake, na katika viunga vyote vya Sharoni, hadi mipakani mwake.
Yoshua 13:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Huo ndio urithi wa wana wa Gadi sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Miji na vijiji hivyo ndivyo walivyopewa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao. Biblia Habari Njema - BHND Miji na vijiji hivyo ndivyo walivyopewa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Miji na vijiji hivyo ndivyo walivyopewa watu wa kabila la Gadi kulingana na koo zao. Neno: Bibilia Takatifu Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Gadi kufuatana na koo zao. Neno: Maandiko Matakatifu Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Gadi ukoo kwa ukoo. BIBLIA KISWAHILI Huo ndio urithi wa wana wa Gadi sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake. |
Nao wakakaa huko Gileadi, katika Bashani, na katika miji yake, na katika viunga vyote vya Sharoni, hadi mipakani mwake.
tena katika bonde, Beth-haramu, na Bethnimira, na Sukothi, na Safoni, hiyo iliyosalia ya ufalme wa Sihoni mfalme wa Heshboni, yaani mto wa Yordani na kingo zake, mpaka mwisho wa bahari ya Kinerethi ng'ambo ya pili ya Yordani upande wa mashariki.
Kisha Musa akawapa hao wa nusu ya kabila la Manase urithi wao; ulikuwa ni wa hiyo nusu ya kabila la wana wa Manase sawasawa na jamaa zao.