Kisha wakaizika mifupa ya Sauli na ya Yonathani mwanawe katika nchi ya Benyamini, huko Zela, kaburini mwa Kishi babaye; wakafanya yote aliyoyaamuru mfalme. Na baadaye Mungu aliiridhia hiyo nchi.
Yona 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia. Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia. BIBLIA KISWAHILI Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka. |
Kisha wakaizika mifupa ya Sauli na ya Yonathani mwanawe katika nchi ya Benyamini, huko Zela, kaburini mwa Kishi babaye; wakafanya yote aliyoyaamuru mfalme. Na baadaye Mungu aliiridhia hiyo nchi.
Ni nani ajuaye kwamba Mungu hatageuka na kughairi, na kuiacha hasira yake kali, ili msiangamizwe?
Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga, enyi wa imani haba? Mara akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.
Wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Bwana mkubwa, Bwana mkubwa, tunaangamia. Akaamka, akaukemea upepo na msukosuko wa maji, vikakoma; kukawa shwari.