Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira Nanyi mkapotea njiani, Kwa kuwa hasira yake huwaka upesi; Heri wote wanaomkimbilia.
Yohana 9:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akasema, Naamini, Bwana. Akamsujudia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, huyo mtu akasema, “Ninaamini Bwana!” Akamsujudia. Biblia Habari Njema - BHND Basi, huyo mtu akasema, “Ninaamini Bwana!” Akamsujudia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, huyo mtu akasema, “Ninaamini Bwana!” Akamsujudia. Neno: Bibilia Takatifu Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu. Neno: Maandiko Matakatifu Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu. BIBLIA KISWAHILI Akasema, Naamini, Bwana. Akamsujudia. |
Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira Nanyi mkapotea njiani, Kwa kuwa hasira yake huwaka upesi; Heri wote wanaomkimbilia.
Na tazama, Yesu akakutana nao, akisema, Salamu! Wakakaribia wakamshika miguu, wakamsujudia.
Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.
Yesu akasema, Mimi nimekuja ulimwenguni humu kwa hukumu, ili wao wasioona waone, nao wanaoona wawe vipofu.