Yohana 9:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona; naye anayezungumza nawe, ndiye.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.” BIBLIA KISWAHILI Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. |
Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Mtu akipenda kuyatenda mapenzi yake, atajua habari ya yale mafunzo, kwamba yatoka kwa Mungu, au kwamba mimi nanena kwa nafsi yangu tu.