Huyo alimjia usiku, akamwambia, Rabi, tunajua ya kuwa u mwalimu, umetoka kwa Mungu; kwa maana hakuna mtu awezaye kuzifanya ishara hizi uzifanyazo wewe, isipokuwa Mungu yu pamoja naye.
Yohana 9:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama huyo asingalitoka kwa Mungu, asingeweza kutenda neno lolote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!” Biblia Habari Njema - BHND Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!” Neno: Bibilia Takatifu Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.” Neno: Maandiko Matakatifu Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.” BIBLIA KISWAHILI Kama huyo asingalitoka kwa Mungu, asingeweza kutenda neno lolote. |
Huyo alimjia usiku, akamwambia, Rabi, tunajua ya kuwa u mwalimu, umetoka kwa Mungu; kwa maana hakuna mtu awezaye kuzifanya ishara hizi uzifanyazo wewe, isipokuwa Mungu yu pamoja naye.
Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa na utengano kati yao.