Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara tatu.
Yohana 18:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi Petro akakana tena, na mara jogoo akawika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Petro akakana tena; mara jogoo akawika. Biblia Habari Njema - BHND Petro akakana tena; mara jogoo akawika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Petro akakana tena; mara jogoo akawika. Neno: Bibilia Takatifu Kwa mara nyingine tena Petro akakana, naye jogoo akawika wakati huo huo. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa mara nyingine tena Petro akakana, naye jogoo akawika wakati huo huo. BIBLIA KISWAHILI Basi Petro akakana tena, na mara jogoo akawika. |
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara tatu.
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, Leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu.
Akakana, akasema, Sijui wala sisikii unayoyasema wewe. Akatoka nje hadi ukumbini; jogoo akawika.
Akasema, Nakuambia, Petro, jogoo hatawika leo, kabla wewe hujanikana mara tatu ya kuwa hunijui.
Yesu akamjibu, Je! Wewe utautoa uhai wako kwa ajili yangu? Amin, amin, nakuambia, Jogoo hatawika hadi wewe utakapokuwa umenikana mara tatu.