Yesu akamwambia, Yeye aliyekwisha kuoga mwili hana haja ila ya kuosha miguu, maana yu safi mwili wote; nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote.
Yohana 15:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Biblia Habari Njema - BHND Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Neno: Bibilia Takatifu Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. Neno: Maandiko Matakatifu Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. BIBLIA KISWAHILI Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. |
Yesu akamwambia, Yeye aliyekwisha kuoga mwili hana haja ila ya kuosha miguu, maana yu safi mwili wote; nanyi mmekuwa safi, lakini si nyote.
Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo safi.