Ndipo mfalme Ahasuero aliponena, akamwambia malkia Esta, Ni nani huyu, tena yuko wapi, ambaye moyoni mwake alithubutu kufanya hivi?
Yohana 13:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi yeye, huku akimwelekea Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?” Biblia Habari Njema - BHND Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?” Neno: Bibilia Takatifu Yule mwanafunzi akamwegemea Isa, akamuuliza, “Bwana, tuambie, ni nani?” Neno: Maandiko Matakatifu Yule mwanafunzi akamwegemea Isa, akamuuliza, “Bwana, tuambie, ni nani?” BIBLIA KISWAHILI Basi yeye, huku akimwelekea Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani? |
Ndipo mfalme Ahasuero aliponena, akamwambia malkia Esta, Ni nani huyu, tena yuko wapi, ambaye moyoni mwake alithubutu kufanya hivi?
Petro akageuka akamwona yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu anafuata; (ndiye huyo aliyeegama kifuani pake wakati wa kula chakula cha jioni, akasema, Bwana, ni nani akusalitiye?)