Yohana 12:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Aliyanena hayo akionesha ni mauti gani atakayokufa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Biblia Habari Njema - BHND (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza (Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani). Neno: Bibilia Takatifu Isa aliyasema haya akionesha ni kifo gani atakachokufa. Neno: Maandiko Matakatifu Isa aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa. BIBLIA KISWAHILI Aliyanena hayo akionesha ni mauti gani atakayokufa. |
Akasema neno hilo kwa kuonesha ni kwa mauti gani atakayomtukuza Mungu. Naye akiisha kusema hayo akamwambia, Nifuate.