Yobu 8:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wewe ukimtafuta Mungu kwa bidii, Na kumsihi huyo Mwenyezi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama utamtafuta Mungu ukamsihi huyo Mungu mwenye nguvu, Biblia Habari Njema - BHND Kama utamtafuta Mungu ukamsihi huyo Mungu mwenye nguvu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama utamtafuta Mungu ukamsihi huyo Mungu mwenye nguvu, Neno: Bibilia Takatifu Lakini ukimtafuta Mungu, nawe ukamsihi Mwenyezi, Neno: Maandiko Matakatifu Lakini ukimtafuta Mungu, nawe ukamsihi Mwenyezi, BIBLIA KISWAHILI Wewe ukimtafuta Mungu kwa bidii, Na kumsihi huyo Mwenyezi; |
Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi.
Ambaye, nijapokuwa mimi ni mwenye haki, siwezi kumjibu; Ni lazima nimwombe mshitaki wangu anihurumie.