Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?
Yobu 8:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini, aking'olewa mahali pake, Ndipo patamkana, na kusema, Mimi sikukuona. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini akiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatamkana yakisema: ‘Sijapata kukuona.’ Biblia Habari Njema - BHND Lakini akiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatamkana yakisema: ‘Sijapata kukuona.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini akiangamizwa kutoka makao yake, hayo yatamkana yakisema: ‘Sijapata kukuona.’ Neno: Bibilia Takatifu Unapong’olewa kutoka mahali pake, ndipo mahali pale huukana na kusema, ‘Mimi kamwe sikukuona.’ Neno: Maandiko Matakatifu Unapong’olewa kutoka mahali pake, ndipo mahali pale huukana na kusema, ‘Mimi kamwe sikukuona.’ BIBLIA KISWAHILI Lakini, aking'olewa mahali pake, Ndipo patamkana, na kusema, Mimi sikukuona. |
Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?
Jicho lake huyo anionaye halitaniangalia tena; Macho yako yatanielekea, lakini sitakuwapo.
Maana bado kitambo kidogo asiye haki hatakuwapo, Utapaangalia mahali pake wala hatakuwapo.
Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;