Yobu 8:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye huwa mti mbichi mbele ya jua, Nayo machipukizi yake huenea katika bustani yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jua litokapo yeye hustawi; hueneza matawi yake bustanini mwake. Biblia Habari Njema - BHND Jua litokapo yeye hustawi; hueneza matawi yake bustanini mwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jua litokapo yeye hustawi; hueneza matawi yake bustanini mwake. Neno: Bibilia Takatifu Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, ukieneza machipukizi yake bustanini; Neno: Maandiko Matakatifu Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, ukieneza machipukizi yake bustanini; BIBLIA KISWAHILI Yeye huwa mti mbichi mbele ya jua, Nayo machipukizi yake huenea katika bustani yake. |
BWANA alikuita jina lako, Mzeituni wenye majani mabichi, mzuri, wenye matunda mema; kwa kelele za mshindo mkuu amewasha moto juu yake, na matawi yake yamevunjika.