Yobu 8:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Bildadi huyo Mshuhi akajibu, na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo Bildadi, Mshuhi, akamjibu Yobu: Biblia Habari Njema - BHND Ndipo Bildadi, Mshuhi, akamjibu Yobu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo Bildadi, Mshuhi, akamjibu Yobu: Neno: Bibilia Takatifu Kisha Bildadi Mshuhi akajibu: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Bildadi Mshuhi akajibu: BIBLIA KISWAHILI Ndipo Bildadi huyo Mshuhi akajibu, na kusema, |
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.
Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu, Na kuniondolea maovu yangu? Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.
Wewe utanena maneno haya hadi lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hadi lini?