Lakini sasa amekufa nifungie nini? Je! Naweza kumrudisha tena? Mimi nitakwenda kwake lakini yeye hatanirudia mimi.
Yobu 7:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Jicho lake huyo anionaye halitaniangalia tena; Macho yako yatanielekea, lakini sitakuwapo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anayeniona sasa, hataniona tena, punde tu ukinitazama nitakuwa nimetoweka. Biblia Habari Njema - BHND Anayeniona sasa, hataniona tena, punde tu ukinitazama nitakuwa nimetoweka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anayeniona sasa, hataniona tena, punde tu ukinitazama nitakuwa nimetoweka. Neno: Bibilia Takatifu Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; utanitafuta, wala sitakuwepo. Neno: Maandiko Matakatifu Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; utanitafuta, wala sitakuwepo. BIBLIA KISWAHILI Jicho lake huyo anionaye halitaniangalia tena; Macho yako yatanielekea, lakini sitakuwapo. |
Lakini sasa amekufa nifungie nini? Je! Naweza kumrudisha tena? Mimi nitakwenda kwake lakini yeye hatanirudia mimi.
Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyakagua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu;
Nawe, je! Wafumbua macho yako kumwangalia mtu kama yeye, Na kunitia katika hukumu pamoja nawe?
Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu, Na kuniondolea maovu yangu? Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.
Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.