Yobu 7:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Hata lini hukomi kuniangalia; Wala kunisumbua hata nimeze mate? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Utaendelea kuniangalia hata lini, bila kuniacha hata nimeze mate? Biblia Habari Njema - BHND Utaendelea kuniangalia hata lini, bila kuniacha hata nimeze mate? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Utaendelea kuniangalia hata lini, bila kuniacha hata nimeze mate? Neno: Bibilia Takatifu Je, hutaacha kamwe kunitazama, au kuniacha japo kwa kitambo kidogo tu? Neno: Maandiko Matakatifu Je, hutaacha kamwe kunitazama, au kuniacha japo kwa kitambo kidogo tu? BIBLIA KISWAHILI Je! Hata lini hukomi kuniangalia; Wala kunisumbua hata nimeze mate? |
Acha kumwangalia yeye, apate kupumzika, Hata atakapoitimiza siku yake, kama aliyeajiriwa.
Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, na Mkweli, utakawia hadi lini kuhukumu na kuilipa damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?