Lakini sasa amekufa nifungie nini? Je! Naweza kumrudisha tena? Mimi nitakwenda kwake lakini yeye hatanirudia mimi.
Yobu 7:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara. Biblia Habari Njema - BHND Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anayeondoka harudi tena kwa jamaa yake, na pale alipokuwa anaishi husahaulika mara. Neno: Bibilia Takatifu Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena. Neno: Maandiko Matakatifu Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena. BIBLIA KISWAHILI Hatarudi tena nyumbani kwake, Wala mahali pake hapatamjua tena. |
Lakini sasa amekufa nifungie nini? Je! Naweza kumrudisha tena? Mimi nitakwenda kwake lakini yeye hatanirudia mimi.
Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?
Maana bado kitambo kidogo asiye haki hatakuwapo, Utapaangalia mahali pake wala hatakuwapo.