Yobu 6:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Huyo punda mwitu hulia akiwa na majani? Au, ng'ombe hulia akiwa malishoni? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho? Biblia Habari Njema - BHND Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho? Neno: Bibilia Takatifu Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au fahali hulia akiwa na chakula? Neno: Maandiko Matakatifu Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au ng’ombe dume hulia akiwa na chakula? BIBLIA KISWAHILI Je! Huyo punda mwitu hulia akiwa na majani? Au, ng'ombe hulia akiwa malishoni? |
Ni nani aliyemwacha pundamilia aende huru? Au je! Ni nani aliyemfungulia vifungo punda mwitu?
Je! Kitu kisicho na ladha chaweza kulika bila chumvi? Au je, uto wa yai una tamu iwayo yote?
Huyameesha majani kwa makundi, Na maboga kwa matumizi ya mwanadamu; Ili atoe chakula katika nchi,
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu.
Na punda mwitu husimama juu ya vilele vya milima, Hutwetea pumzi kama mbwamwitu; Macho yao hayaoni sawasawa, Kwa kuwa hapana majani.