Yobu 6:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa bahari; Kwa hiyo maneno yangu yamekuwa ya haraka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya kuropoka! Biblia Habari Njema - BHND Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya kuropoka! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yangekuwa mazito kuliko mchanga wa pwani. Ndio maana maneno yangu ni ya kuropoka! Neno: Bibilia Takatifu Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa bahari; Kwa hiyo maneno yangu yamekuwa ya haraka. |
Ee BWANA, Mungu wangu, umefanya kwa wingi Miujiza yako na mawazo yako kwetu; Hakuna awezaye kufananishwa nawe; Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri, Ni mengi sana hayahesabiki.
Jiwe ni zito, na mchanga hulemea; Lakini ghadhabu ya mpumbavu ni nzito kuliko hivi vyote viwili.