Yobu 6:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Jinsi yafaavyo maneno ya uelekevu! Lakini shutuma zenu, je! Zimeonya nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maneno ya kweli yana nguvu kubwa! Lakini makaripio yenu yananikosoa nini? Biblia Habari Njema - BHND Maneno ya kweli yana nguvu kubwa! Lakini makaripio yenu yananikosoa nini? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maneno ya kweli yana nguvu kubwa! Lakini makaripio yenu yananikosoa nini? Neno: Bibilia Takatifu Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? Neno: Maandiko Matakatifu Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? BIBLIA KISWAHILI Jinsi yafaavyo maneno ya uelekevu! Lakini shutuma zenu, je! Zimeonya nini? |
Basi imekuwaje ninyi kunituliza moyo kwa utupu mtupu, Kwa kuwa katika majibu yenu unasalia uongo tu.
Na kama sivyo sasa, ni nani atakayenihukumu mimi kuwa ni mwongo, Na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?
Tena hasira zake ziliwaka juu ya hao rafiki zake watatu kwa sababu hawakupata jawabu, lakini wamemhukumia Ayubu makosa.
Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!