Yobu 6:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wameudhika kwa sababu walitumaini; Wakaja huku, nao walifadhaika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huchukizwa kwa kutumaini bure, hufika kwenye vijito hivyo na kuudhika. Biblia Habari Njema - BHND Huchukizwa kwa kutumaini bure, hufika kwenye vijito hivyo na kuudhika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huchukizwa kwa kutumaini bure, hufika kwenye vijito hivyo na kuudhika. Neno: Bibilia Takatifu Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini; wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia. Neno: Maandiko Matakatifu Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini; wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia. BIBLIA KISWAHILI Wameudhika kwa sababu walitumaini; Wakaja huku, nao walifadhaika. |
Kumtumaini asiye mwaminifu wakati wa taabu Ni kama jino lililovunjika, au mguu ulioteguka.
Mbona maumivu yangu ni ya daima, na jeraha langu halina dawa, linakataa kuponywa? Je! Yamkini wewe utakuwa kwangu kama kijito kidanganyacho, na kama maji yasiyodumu?
Ee BWANA, tumaini la Israeli, wote wakuachao watatahayarika. Wao watakaojitenga nami wataandikwa katika mchanga, kwa sababu wamemwacha BWANA, kisima cha maji yaliyo hai.
na tumaini halitahayarishi; kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi.
kama ilivyoandikwa, Tazama, naweka katika Sayuni jiwe likwazalo, na mwamba uangushao; Na kila amwaminiye hatatahayarika.