Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.
Yobu 6:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Misafara ya Tema huvitazama, Majeshi ya Sheba huvingojea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Misafara ya Tema hutafuta tafuta, wasafiri wa Sheba hutumaini. Biblia Habari Njema - BHND Misafara ya Tema hutafuta tafuta, wasafiri wa Sheba hutumaini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Misafara ya Tema hutafuta tafuta, wasafiri wa Sheba hutumaini. Neno: Bibilia Takatifu Misafara ya Tema inatafuta maji, wafanyabiashara wa Sheba wanaosafiri hutazama kwa matarajio. Neno: Maandiko Matakatifu Misafara ya Tema inatafuta maji, wafanyabiashara wa Sheba wanaosafiri hutazama kwa matarajio. BIBLIA KISWAHILI Misafara ya Tema huvitazama, Majeshi ya Sheba huvingojea. |
Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.
Yokshani akamzaa Sheba, na Dedani; na wana wa Dedani walikuwa Waashuri na Waletushi, na Waleumi.
Na malkia wa Sheba aliposikia habari za Sulemani juu ya jina la BWANA, alikuja ili amjaribu kwa maswali ya fumbo.
mara Waseba wakawashambulia, wakawachukua wakaenda nao; naam, wamewaua hao watumishi kwa makali ya upanga, mimi peke yangu nimepona, mimi tu, kukuletea habari.
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.
Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa.
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.