Yobu 6:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini sina nguvu ya kuweza kuendelea; sijui mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia. Biblia Habari Njema - BHND Lakini sina nguvu ya kuweza kuendelea; sijui mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini sina nguvu ya kuweza kuendelea; sijui mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia. Neno: Bibilia Takatifu “Nina nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? Neno: Maandiko Matakatifu “Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? BIBLIA KISWAHILI Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri? |
BWANA, unijulishe mwisho wangu, Na idadi ya siku zangu ni ngapi; Nijue jinsi maisha yangu yalivyo mafupi.
Tazama, umefanya siku zangu kuwa mashubiri; Maisha yangu ni kama si kitu mbele zako. Kila mwanadamu, ingawa amesitawi, ni ubatili.