Mwasema, Yeye ni mwepesi juu ya uso wa gharika; Sehemu yao inalaaniwa duniani; Hageuki kwenda njia ya mizabibuni.
Yobu 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nimewaona wapumbavu wakishusha mizizi; Lakini mara niliyalaani maskani yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini ghafla nikayalaani makao yake. Biblia Habari Njema - BHND Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini ghafla nikayalaani makao yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nimepata kuona mpumbavu akifana, lakini ghafla nikayalaani makao yake. Neno: Bibilia Takatifu Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. Neno: Maandiko Matakatifu Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. BIBLIA KISWAHILI Nimewaona wapumbavu wakishusha mizizi; Lakini mara niliyalaani maskani yake. |
Mwasema, Yeye ni mwepesi juu ya uso wa gharika; Sehemu yao inalaaniwa duniani; Hageuki kwenda njia ya mizabibuni.
Maana tumaini la mpotovu ni nini, ingawa ajipatia faida, Hapo Mungu amwondoleapo roho yake?
Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;
Kwa maana imeandikwa katika kitabu cha Zaburi, Kikao chake na kiwe ukiwa, Wala asiwepo mtu mwenye kukaa humo; tena, Usimamizi wake autwae mwingine.