Yobu 5:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tazama, haya tumeyapeleleza, ndivyo yalivyo; Yasikie, uyajue, ili upate mema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi huu ndio utafiti wetu; tena ni ukweli; uusikie na kuuelewa kwa faida yako.” Biblia Habari Njema - BHND Basi huu ndio utafiti wetu; tena ni ukweli; uusikie na kuuelewa kwa faida yako.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi huu ndio utafiti wetu; tena ni ukweli; uusikie na kuuelewa kwa faida yako.” Neno: Bibilia Takatifu “Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.” Neno: Maandiko Matakatifu “Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.” BIBLIA KISWAHILI Tazama, haya tumeyapeleleza, ndivyo yalivyo; Yasikie, uyajue, ili upate mema. |