Yobu 5:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nawe utajua ya kwamba hema yako ni salama; Na zizi lako utalikagua, wala usikose kitu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Utaona nyumbani mwako mna usalama; utakagua mifugo yako utaiona yote ipo. Biblia Habari Njema - BHND Utaona nyumbani mwako mna usalama; utakagua mifugo yako utaiona yote ipo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Utaona nyumbani mwako mna usalama; utakagua mifugo yako utaiona yote ipo. Neno: Bibilia Takatifu Utajua kwamba hema lako li salama; utahesabu mali yako wala hutakuta chochote kilichopungua. Neno: Maandiko Matakatifu Utajua ya kwamba hema lako li salama; utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua. BIBLIA KISWAHILI Nawe utajua ya kwamba hema yako ni salama; Na zizi lako utalikagua, wala usikose kitu. |
Ikiwa wewe u safi na mwelekevu; Hakika yeye sasa angeamka kwa ajili yako, Na kuyafanya makazi ya haki yako kufanikiwa.
Nenda, ukawakusanye wazee wa Israeli pamoja, ukawaambie, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenitokea, akaniambia, Hakika nimewajilieni, tena nimeyaona mnayotendewa huko Misri;
Basi Daudi na watu wake walipoufikia mji, tazama, ulikuwa umechomwa moto; na wake zao, na watoto wao, wanaume kwa wanawake, wamechukuliwa mateka.