Yobu 5:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haya, ita sasa; je! Yuko atakayekujibu? Nawe utamwelekea yupi katika hao watakatifu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? Biblia Habari Njema - BHND “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita? Neno: Bibilia Takatifu “Itana, ukitaka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia? Neno: Maandiko Matakatifu “Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia? BIBLIA KISWAHILI Haya, ita sasa; je! Yuko atakayekujibu? Nawe utamwelekea yupi katika hao watakatifu? |
Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana?
Nyamazeni mbele zangu, enyi visiwa, na mataifa wajipatie nguvu mpya; na waje karibu wakanene; na tukaribiane pamoja kwa hukumu.
Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu; kwa watakatifu walioko [Efeso] wanaomwamini Kristo Yesu.
Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa subira katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,