Yobu 42:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi Ayubu akafa, akiwa mzee sana mwenye kujawa na siku. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyeshiba siku. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku. BIBLIA KISWAHILI Basi Ayubu akafa, akiwa mzee sana mwenye kujawa na siku. |
Abrahamu akafariki, naye akafa katika uzee mwema, mzee sana, ameshiba siku, akakusanyika kwa watu wake.
Kisha baada ya mambo hayo Ayubu akaishi miaka mia moja na arubaini, naye akawaona wanawe, na wana wa wanawe, hadi kizazi cha nne.
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
upate kumcha BWANA, Mungu wako, kushika amri zake zote, na sheria zake, ninazokuamuru, wewe na mwanao, na mwana wa mwanao, siku zote za maisha yako; tena siku zako ziongezwe.