Yobu 42:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamwita huyo wa kwanza jina lake Yemima; na wa pili akamwita jina lake Kesia; na wa tatu akamwita jina lake Keren-hapuhu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Binti yake wa kwanza alimpa jina Yemima, wa pili Kezia, na wa mwisho Keren-hapuki. Biblia Habari Njema - BHND Binti yake wa kwanza alimpa jina Yemima, wa pili Kezia, na wa mwisho Keren-hapuki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Binti yake wa kwanza alimpa jina Yemima, wa pili Kezia, na wa mwisho Keren-hapuki. Neno: Bibilia Takatifu Binti wa kwanza aliitwa Yemima, wa pili Kesia, na wa tatu Keren-Hapuki. Neno: Maandiko Matakatifu Binti wa kwanza aliitwa Yemima, wa pili Kesia na wa tatu Keren-Hapuki. BIBLIA KISWAHILI Akamwita huyo wa kwanza jina lake Yemima; na wa pili akamwita jina lake Kesia; na wa tatu akamwita jina lake Keren-hapuhu. |
Katika nchi hiyo yote hawakuwapo wanawake waliokuwa wazuri kama hao wana wa Ayubu; na baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao wa kiume.