Yobu 42:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena alikuwa na watoto wa kiume saba, na binti watatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alikuwa pia na watoto wa kiume saba na wa kike watatu. Biblia Habari Njema - BHND Alikuwa pia na watoto wa kiume saba na wa kike watatu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alikuwa pia na watoto wa kiume saba na wa kike watatu. Neno: Bibilia Takatifu Tena alikuwa na wana saba na binti watatu. Neno: Maandiko Matakatifu Tena alikuwa na wana saba na binti watatu. BIBLIA KISWAHILI Tena alikuwa na watoto wa kiume saba, na binti watatu. |
Akamwita huyo wa kwanza jina lake Yemima; na wa pili akamwita jina lake Kesia; na wa tatu akamwita jina lake Keren-hapuhu.
Lakini alimwinua mhitaji juu mbali na mateso, Na kuwaongeza jamaa zao kama kundi la kondoo.
Watoto ulionyang'anywa watasema masikioni mwako, Mahali hapa ni pembamba, hapanitoshi; nipe nafasi nipate kukaa.