Yobu 42:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Ayubu akamjibu BWANA, na kusema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: Biblia Habari Njema - BHND Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Yobu akamjibu Mwenyezi-Mungu: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Ayubu akamjibu Mwenyezi Mungu: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Ayubu akamjibu bwana: BIBLIA KISWAHILI Ndipo Ayubu akamjibu BWANA, na kusema. |
Basi ikawa, baada ya BWANA kumwambia Ayubu maneno hayo, BWANA akamwambia huyo Elifazi Mtemani, Hasira zangu zinawaka juu yako, na juu ya hao rafiki zako wawili; kwa kuwa ninyi hamkunena yaliyo sawa katika habari zangu, kama alivyonena mtumishi wangu Ayubu.