Yobu 41:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hufanya mapito yake kung'aa nyuma yake Hata mtu angedhani kilindi kina mvi. Matoleo zaidiNeno: Bibilia Takatifu Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. Neno: Maandiko Matakatifu Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. BIBLIA KISWAHILI Hufanya mapito yake kung'aa nyuma yake Hata mtu angedhani kilindi kina mvi. |
Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Abrahamu akafariki, naye akafa katika uzee mwema, mzee sana, ameshiba siku, akakusanyika kwa watu wake.
Akasema, Mwanangu hatashuka pamoja nanyi, maana nduguye amekufa, naye amesalia peke yake; mabaya yakimpata katika njia mtakayoiendea ndipo mtakaposhusha mvi zangu kwa sikitiko mpaka kaburini.