Yobu 41:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Atakusihi sana? Au, atakuambia maneno ya upole? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nani aliyenipa kitu, ili nitakiwe kumrudishia? Chochote kilicho chini ya mbingu ni changu. Biblia Habari Njema - BHND Nani aliyenipa kitu, ili nitakiwe kumrudishia? Chochote kilicho chini ya mbingu ni changu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nani aliyenipa kitu, ili nitakiwe kumrudishia? Chochote kilicho chini ya mbingu ni changu. Neno: Bibilia Takatifu Je, ataendelea kukuomba umhurumie? Atasema nawe maneno ya upole? Neno: Maandiko Matakatifu Je, ataendelea kukuomba umhurumie? Atasema nawe maneno ya upole? BIBLIA KISWAHILI Je! Atakusihi sana? Au, atakuambia maneno ya upole? |
Kinywa chake ni laini kuliko siagi, Bali moyo wake ni vita. Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, Lakini yanakata kama upanga mkali.
Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kulishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu; maana dunia yote pia ni mali yangu,
wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo;