Yobu 41:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Anapojiinua, mashujaa huogopa; Kwa sababu ya woga wao huvunjwa moyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu. Biblia Habari Njema - BHND Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu. Neno: Bibilia Takatifu Ainukapo, mashujaa wanaogopa; wanarudi nyuma mbele ya kishindo chake. Neno: Maandiko Matakatifu Ainukapo, mashujaa wanaogopa; hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo. BIBLIA KISWAHILI Anapojiinua, mashujaa huogopa; Kwa sababu ya woga wao huvunjwa moyo. |