Je! Wewe ulimpa farasi uwezo wake? Au, ni wewe uliyemvika shingo yake manyoya yatetemayo?
Yobu 41:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Katika shingo yake hukaa nguvu, Na utisho hucheza mbele yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tumbo lake ni kama limefunikwa na vigae vikali; hukwaruza na kurarua udongo kama chombo cha kupuria. Biblia Habari Njema - BHND Tumbo lake ni kama limefunikwa na vigae vikali; hukwaruza na kurarua udongo kama chombo cha kupuria. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tumbo lake ni kama limefunikwa na vigae vikali; hukwaruza na kurarua udongo kama chombo cha kupuria. Neno: Bibilia Takatifu Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake. Neno: Maandiko Matakatifu Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake. BIBLIA KISWAHILI Katika shingo yake hukaa nguvu, Na utisho hucheza mbele yake. |
Je! Wewe ulimpa farasi uwezo wake? Au, ni wewe uliyemvika shingo yake manyoya yatetemayo?
Tazama basi, nguvu zake zimo katika viuno vyake, Na uwezo wake u katika mishipa ya tumbo lake.
Nitawakomboa kwa nguvu za kaburi; nitawaokoa kutoka kwa mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Huruma itafichika machoni mwangu.