Nyota za mapambazuko yake na ziwe giza; Na utafute mwanga lakini usiupate; Wala usiyaone mapambazuko;
Yobu 41:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa kuchemua kwake mwanga humemetuka, Na macho yake yanafanana na koze za alfajiri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo. Biblia Habari Njema - BHND Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo. Neno: Bibilia Takatifu Akipiga chafya mwanga humetameta; macho yake ni kama miali ya mapambazuko. Neno: Maandiko Matakatifu Akipiga chafya mwanga humetameta; macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuchemua kwake mwanga humemetuka, Na macho yake yanafanana na kope za alfajiri. |
Nyota za mapambazuko yake na ziwe giza; Na utafute mwanga lakini usiupate; Wala usiyaone mapambazuko;
Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji; na macho yake kama muali wa moto;